12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Makutano yakaja pamoja kwa mahali ... pengi. Maneno kwa hotuba zisizo za kawaida

kwanza zilikuwa zile zisizogeuka za kuonyesha kwamba giza ililingana na unabii wa

Maandiko... Giza ilikuwa nyingi zaidi kwa upesi baada ya saa tano.”

“Kwa sehemu nyingi za inchi ilikuwa kubwa sana katika nyakati za mchana, ambaye watu

hawakuweza kutaja saa wala kwa saa ndogo ao kubwa, wala kula chakula, ao kufanya kazi

zao za nyumbani, bila nuru ya mishumaa.”

Mwezi kama Damu

“Giza ya usiku haikukosa kuwa ya ajabu na ya kutisha kama ile ya mchana; ingawa mwezi

ulikuwa karibu kuwa mzima, hakuna kitu kilikuwa cha kutambulikana ila tu kwa msaada wa

nuru isiyokuwa ya asili, ambayo, kama ikionekana kwa nyumba za jirani na mahali pengine

kwa mbali ilionekana kama katika ile giza ya Misri ambayo ilionekana karibu kama

isiyopenyeka kwa miale.” “Kama kila kitu chenye kung’aa katika ulimwengu kilifunikwa

katika giza isiyopenyeka, ao kingeondolewa, giza haingalikuwa kamili kabisa.” Baada ya

usiku wa manane giza ikatoweka, na mwezi, wakati ulionekana mara ya kwanza, ulikuwa na

rangi ya damu.

Tarehe 19 ya Mai 1780, inakuwa katika historia kama “Siku ya Giza.” Tangu wakati wa

Musa hakuna giza ya namna ile nzito, kubwa, na yakuendelea iliyoandikwa. Maelezo

yaliyotolewa kwa washuhuda waliojionea ni jibu la maneno yaliyoandikwa na Yoeli miaka

2500 mbele: “Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu mbele ya kutimia kwake ile siku

kubwa ya Bwana yenye kuogopesha.” Yoeli 2:31.

“Wakati maneno haya yanapoanza kuja,” akasema Kristo, “tazameni juu, munyanyue

vichwa vyenu kwa sababu ukombozi wenu umekaribia.” Alitolea wafuasi wake mfano wa mti

uliochipuka wakati ya mwaka ya kukua ao kuota kwa mimea: “Wakati inapochipuka,

munaona na kutambua ninyi wenyewe ya kwamba mavuno yamekwisha kuwa karibu. Vile

nanyi, wakati munapoona maneno haya yanapotokea jueni ya kwamba ufalme wa Mungu ni

karibu.” Luka 21:28, 30, 31.

Lakini katika kanisa upendo kwa ajili ya Kristo na imani katika kuja kwake vilipoa.

Waliojidai kuwa watu wa Mungu walipofushwa kwa mafundisho ya Mwokozi juu ya ishara

za kuonekana kwake. Mafundisho ya kuja kwa mara ya pili yalizarauliwa, hata ikiwa kwa,

eneo kubwa, haikujaliwa na ikasahauliwa, hasa zaidi kule Amerika. Tamaa ya mali, kupigania

sifa na uwezo, vikaongoza watu kuweka mbali kwa wakati ujao siku ile kubwa ambapo

mambo yote ya sasa yatapaswa kupita.

Mwokozi alitabiri hali ya kukufuru ilipashwa kuwako mbele ya kuja kwake kwa mara ya

pili. Kwa wale wanaoishi kwa wakati huu, onyo la Kristo ni: “Mujiangalie, mioyo yenu isipate

kulemewa na ulafi na ulevi, na masumbuko ya maisha haya, siku ile isije kwenu gafula kama

mutego.” “Lakini tazameni kila wakati, mukiomba mupate nguvu ya kukimbia maneno haya

yote yatakayokuwa, na kusimama mbele ya Mwana wa watu.” Luka 21:34, 36.

122

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!