12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

wakati adui zake walipohakikisha kupata mawindo yao, mkono wa Mungu ukamuhamisha

mbali yao. Katika kanisa lake huko Lutterworth, wakati alipotaka kufanya ibada ya meza ya

Bwana, akaanguka na kupinga kupooza communion), anakauka viungo, na kwa wakati mfupi

akakata roho yake.

Mpinga Mbiu wa Wakati wa Sasa

Mungu alitia neno la ukweli katika kinywa cha Wycliffe. Maisha yake yalilindwa na kazi

zake zikazidishwa hata msingi ukawekwa kwa ajili ya Matengenezo (Reformation).

Hapakuwa mtu aliyekwenda mbele ya Wycliffe ambaye kwa kazi yake aliweza kutengeneza

utaratibu wake wa matengenezo. Alikuwa mpinga mbiuwa wakati wa sasa. Bali katika ukweli

ambayo alioonyesha, kulikuwa umoja na ukamilifu ambao watengenezaji waliofuata

hawakuzidisha, na ambao wengine hawakuufikia. Mjengo ulikuwa imara na wa kweli, hata

hapakuwa na mahitaji ya kugeuzwa na wale waliokuja baada yake.

Kazi kubwa ambayo Wycliffe alianzisha ni kufungua mataifa yaliyofungwa na Roma

wakati mrefu iliyokuwa na msingi wake katika Biblia. Hapa ndipo chemchemi ya kijito cha

mibaraka kilicho tiririka tokea zamani za miaka tangu karne ya kumi na ine. Aliye fundishwa

kuona Roma kama utawala usiekuwa na kosa na kukubali heshima isiyokuwa na swali kwa

heshima ya mafundisho na desturi za miaka elfu, Wycliffe akageukia mbali na mambo haya

yote ili kusikiliza Neno Takatifu la Mungu. Badala ya kanisa inayosema kwa njia ya Papa,

alitangaza mamlaka moja tu ya kweli kuwa sauti ya Mungu inayosema kwa njia ya Neno lake.

Na alifundisha kwamba Roho Mtakatifu ndiyo mtafsiri wake pekee.

Wycliffe alikuwa mmoja wapo wa Watengenezaji wakubwa. Alikuwa sawa sawa na

wachache waliokuja nyuma yake. Usafi wa maisha, juhudi imara katika kujifunza na kazi,

uaminifu daima, na upendo kama ule wa Kristo, vilikuwa tabia ya mtangulizi wa

watengenezaji wa kwanza. Biblia ndiyo iliyomfanya vile alivyokuwa. Majifunzo ya Biblia

itakuza kile fikara, mawazo ya ndani, na mvuto wa roho ambao kujifunza kwengine hakuwezi.

Hutoa msimamo wa kusudi, uhodari na ushujaa. Juhudi, kujifunza kwa heshima kwa

Maandiko hutolea ulimwengu watu wa akili nyingi, pia na wa kanuni bora, kuliko hekima ya

kibinadamu.

Wafuasi wa Wycliffe, walijulikana kama “Wycliffites” na “Lollards”, wakatawanyika

kwa inchi zingine, wakichukua injili. Sasa kwa sababu mwongozi wao aliondolewa, wahubiri

wakatumika na juhudi nyingi kuliko mbele. Matukano makubwa wakaja kusikiliza. Wengine

wa cheo kikubwa, na hata bibi wa mfalme, walikuwa miongoni mwa waliogeuka. Katika

pahali pengi mifano ya sanamu ya dini ya Roma iliondolewa kutoka ndani ya makanisa.

Lakini mateso makali yakazukia kwa wale waliosubutu kukubali Biblia kama kiongozi

chao. Kwa mara ya kwanza katika historia ya inchi ya Uingereza amri ya kifocha wafia

upinzani wa kufungia watu wa dini kiliamriwa juu ya wanafunzi wa injili. Kifo ao mateso ya

wafia dini ikafuatana na kufuatana. Wakawindwa kama adui za kanisa na wasaliti wa nchi,

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!