12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kutosha; na ile haiwezi kutusadikisha kwamba tunakuwa katika kosa; Neno la Mungu pekee

linaweza kugeuza maoni yetu. Hukumu yetu ilifanyika kwa kusudi pamoja na maombi, kama

tulivyoona ushuhuda katika Maandiko.”

Wakati uovu wambele ya garika ulipomsukuma Mungu kuleta garika duniani, kwanza

akawajulisha kusudi lake. Kwa miaka 120 likasikiwa onyo kwa kutubu. Lakini

hawakuliamini. Wakazarau mjumbe wa Mungu. Kama ujumbe wa Noa ulikuwa wa kweli,

sababu gani watu wote wa dunia hawakuuona na kuuamini? Tendo la kudai haki la mtu mmoja

kupinga hekima ya maelfu! Hawakuweza kuamini onyo wala kutafuta kimbilio ndani ya

safina.

Watu wa zarau wakaonyesha kwa mwandamano usiobadilika wa majira, mbingu za rangi

ya samawi zisizonyesha mvua kamwe. Katika zarau wakatangaza mhubiri wa haki kama

mwenye juhudi ya kishenzi. Wakaenda zao, kujikaza zaidi kwa njia zao mbovu kuliko mbele.

Lakini kwa wakati uliotajwa Hukumu za Mungu zikaanguka juu ya waliokataa huruma yake.

Wenye Mashaka na Wasioamini

Kristo alisema kwamba kama vile watu wa siku za Noa “hawakujua hata garika ilipokuja

na kuwaondosha wote; ndivyo kutakavyokuwa kuja kwa Mwana wa watu.” Matayo 24:39.

Wakati watu wanaojidai kuwa watu wa Mungu wanapojiunga pamoja na dunia, wakati anasa

ya dunia inakuwa anasa ya kanisa, wakati wote wanapotazamia miaka nyingi ya mafanikio

ya kidunia--ndipo, kwa gafula kama nuru ya umeme, utakuja mwisho wa matumaini yao ya

uongo. Kama vile Mungu alivyotuma mtumishi wake kwa kuonya dunia juu ya kuja kwa

Garika, ndivyo alivyotuma wajumbe waliochaguliwa kujulisha ukaribu wa hukumu ya

mwisho. Na kama watu wa wakati wa Noa walichekelea kwa kuzarau ubashiri wa muhubiri

wa haki, ndivyo hivyo katika siku za Miller wengi kati ya wale wanaojidai kuwa watu wa

Mungu wakachekelea maneno ya maonyo.

Hapo hapakuwa tena na ushahidi wa mwisho wakuonyesha kwamba makanisa yalitoka

kwa Mungu kuliko machukio yaliyoamshwa na ujumbe huu uliotumwa na Mungu. Wale

waliokubali mafundisho ya kuja waliona kwamba ilikuwa wakati wa kukamata msimamo.

“Mambo ya umilele yakawa kwao kitu cha kweli. Mbingu ililetwa karibu, na walijiona wao

wenyewe kuwa na kosa mbele za Mungu.”

Wakristo walifanywa kuona kwamba wakati ulikuwa karibu, mambo walipashwa

kutendea wenzao yalipaswa kufanywa kwa upesi. Umilele ulionekana kufunguliwa mbele

yao. Roho wa Mungu alitoa uwezo kwa miito yao kujitayarisha kwa ajili ya siku ya Mungu.

Maisha yao ya siku kwa siku ilikuwa mi laumu kwa washiriki wa kanisa wasiotakaswa. Hawa

hawakutaka kusumbuliwa katika furaha yao, kutafuta feza, na tamaa ya nguvu kwa ajili ya

heshima ya kidunia. Ndipo wakapinga imani ya kiadventisti.

Wapinzani wakajitahidi kupinga uchunguzi kwa kufundisha kwamba mambo ya unabii

yalitiwa muhuri. Kwa hiyo Waprotestanti wakafuata nyayo za washiriki wa kanisa la Roma.

137

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!