12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

wanyenyekevu, wapole, na watakatifu: tunashika injili hii, ya habari ya furaha: ... ` haki ya

sheria hutimilika ndani yetu; kwa njia ya imani inayokuwa katika Yesu Kristo. ...

“Katika daraja la juu sana za maadui wa injili ya Kristo,” akasema Wesley, “ni wale ...

wanaofundisha watu kuvunja ... si moja tu, wala ndogo ao kubwa sana, bali amri zote kwa

jumla. ... Wanamheshimu kama Yuda alivyofanya aliposema, `salamu, Rabi; akamubusu’ ...

Hakuna namna ingine isipokuwa kumusaliti kwa kumubusu, kuzungumza juu ya damu yake,

na kunyanganya taji lake; kuweka nuru kwa kila sehemu ya sheria yake, chini ya ujanja wa

kuendesha injili yake.”

Umoja wa Sheria na Injili

Kwa wale wanaoshurtisha kwamba “hotuba ya injili hujibu vikomo vyote vya sheria,”

Wesley akajibu: “Wajibu wa kwanza kabisa wa sheria, yaani, kusadikisha watu juu ya zambi,

kuamsha wale wangali katika usingizi kwa ukingo wa Gehena ya moto. ... Ni uwongo, basi

kutoa mganga kwa wenye afya, ao wanaojizania wao wenyewe kuwa na afya. Inafaa kwanza

kuwasadikisha kwamba wako wagonjwa, kama sivyo hawatakushukuru kwa kazi yako.

Inakuwa vilevile uwongo kunena habari ya Kristo kwa wale ambao roho yao haijavunjika.”

Na katika kuhubiri injili ya neema ya Mungu, Wesley kama Bwana wake, alitafuta

“kutukuza sheria, na kuifanyiza kuwa na heshima.” Isaya 42:21. Matokeo yalikuwa ya

utukufu aliyoruhusiwa kuona. Kwa mwisho wa juu nusu ya karne aliyotumia katika kazi,

wafuasi wake wakahesabika zaidi kuliko nusu ya milioni. Lakini wengi wa roho zilizoinuliwa

kutoka kwa upotovu wa zambi kwa maisha ya juu na safi hauwezi kamwe kujulikana hata

jamaa lote la waliokombolewa wanapokusanyika katika ufalme wa Mungu. Maisha yake

inaonyesha fundisho la thamani isiyohesabika kwa kila Mkristo.

Ilipendeza Mungu kwamba imani na unyenyekevu, juhudi isiyolegea, kujinyima na uchaji

wa kweli wa mtumishi huyu wa Mungu yapate kurudisha nuru katika makanisa ya leo!

104

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!