12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

zote, namna gani atakosa kututolea vitu vyote pamoja naye?” Yesu asema: “Kama ninyi mulio

wabaya munajua kuwapa watoto wenu zawadi njema, si zaidi Baba yenu aliye katika mbingu

atawapa wote wanaomwomba Roho Mtakatifu?” “Kama mukiomba neno gani kwa jina langu,

nitalifanya.” “Mwombe, na mutapata, furaha yenu itimizwe.” Waroma 8:32; Luka 11:13;

Yoane 14:14; 16:24.

Ni heshima ya kila mumoja kuishi ambako Mungu atakao kubali na kubarikia. Si mapenzi

ya Baba yetu wa mbinguni ya kuwa tupate kuwa chini ya hukumu na giza. Hapo hakuna

ushuhuda wa unyenyekevu wa kweli katika kwenda pamoja na kichwa cha kuinama chini na

moyo unaojaa na mawazo ya uchoyo. Tunaweza kwenda kwa Yesu na kutakaswa na

kusimama mbele ya sheria pasipo haya na majuto.

Katika Yesu wana wa Adamu walioanguka wanakuwa “wana wa Mungu.” Kwa sababu

hii haoni haya kuwaita ndugu zake.” Maisha ya mkristo yanapaswa kuwa yale ya imani moja,

ushindi, na furaha katika Mungu. “Maana furaha ya Bwana ni nguvu zenu.” “Furahini siku

zote. Ombeni pasipo kuacha. Katika maneno yote mushukuru; maana maneno haya ni

mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” Waebrania 2:11; Nehemia 8:10; 1

Watesalonika 5:16-18.

Haya ndiyo yanavyokuwa matunda ya toba ya Biblia na utakaso; na ni kwa sababu ya

kanuni kubwa za haki zilizo wekwa katika sheria zinaangaliwa kwa kutojali kwamba matunda

haya yanashuhudiwa kwa shida. Hii ndiyo sababu hapo kunaonyeshwa kidogo sana kazi

nyingi ile, yenye kudumu ya Roho ambayo iliyoonyesha maamsha ya kwanza.

Ni kwa kutazama ile tunakuwa wenye kubadilika. Wakati amri hizo takatifu ambamo

Mungu amefungulia watu ukamilifu na utakatifu wa tabia yake zimezarauliwa, na akili za

watu zimevutwa kwa mafun-disho na maelezo ya watu, hapo kulifuatwa na upungufu wa

utawa katika kanisa. Ni wakati tu sheria ya Mungu imerudishwa kwa hali yake ya haki ndipo

pale panaweza kuwa na muamsho wa imani ya zamani za kwanza na utawa miongoni mwa

watu wake wanaojulikana.

195

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!