12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

waliozuru kanisa na waliofanya maungamo. Jambo moja la mhimu sana la nyakati hizi,

sikukuu ya Watakatifu Wote, ilikuwa ikikaribia. Luther, alipoungana na makundi yaliyo

jitayarisha kwenda kanisani, akabandika kwa mlango wa kanisa mashauri makumi tisa na tano

juu ya kupinga ya uuzishaji wa vyeti (musamaha).

Makusudi yake yakavuta uangalifu wa watu wote. Yakasomwa na kuyakariri po pote,

yakasitusha sana watu katika mji wote. Kwa maelezo haya yalionyeshwa kwamba uwezo kwa

kutoa masamaha ya zambi na kuachiliwa malipizi yake haukutolewa kwa Papa ao kwa mtu

ye yote. Ilionyeshwa wazi wazi kwamba neema ya Mungu ilitolewa bure kwa wote

wanaoitafuta kwa toba na imani.

Mambo yaliyoandikwa na Luther yakatawanyika pote katika Ujeremani na baada ya

majuma machache yakasikilika pote katika Ulaya. Wengi waliojifanya kuwa watu wa kanisa

la Roma wakasoma mashauri haya (mambo yalioandikwa na Luther) kwa furaha, kutambua

ndani yao sauti ya Mungu. Walijisikia kwamba Bwana aliweka mkono wake kufunga maji

yaliyotomboka ya uovu ulioletwa kutoka kwa Roma. Waana wa wafalme na waamuzi kwa

siri wakafurahi kwamba kizuio kilipashwa kuwekwa juu ya mamlaka ya kiburi ambayo

ilikataa kuacha maamuzi yake.

Wapadri wa hila, kuona faida zao kuwa hatarini, wakakasirika. Mtengenezaji

(Reformateur) alikuwa na washitaki wakali wakushindana naye. “Nani asiyejua, ” akajibu,

“kwamba si mara nyingi mtu kuleta mawazo mpya bila. kushitakiwa kukaamsha mabishano?

... Sababu gani Kristo na wafia dini wote waliuawa? Kwa sababu ... walileta mambo mapya

bila kupata kwanza shauri la unyenyekevu la mtu wa hekima na maoni ya zamani.”

Makaripio ya adui za Luther, masingizio yao juu ya makusudi yake, mawazo yao ya uovu

juu ya tabia yake yakawajuu yake kama garika. Alikuwa ameamini kwamba waongozi

watajiunga naye kwa furaha katika matengenezo. Mbele ya wakati aliona siku bora

zikipambazuka kwa kanisa.

Lakini kutiia moyo kukageuka kuwa karipio. Wakuu wengi wa kanisa na jamii ya watu

wa serkali kwa upesi wakaona kwamba ukubali wa mambo haya ya kweli karibu ungaliharibu

mamlaka ya Roma, kuzuia maelfu ya vijito vinavyotiririka sasa katika nyumba ya hazina

yake, na vivi hivi kupunguza anasa ya waongozi wa Papa. Kufundisha watu kumutazama

Kristo peke yake kwa ajili ya wokovu kungeangusha kiti cha askofu na baadaye kuharibu

mamlaka yao wenyewe. Kwa hiyo wakajiunga wao wenyewe kupinga Kristo na kweli kuwa

wapinzani kwa mtu aliyetumwa kwa kuwaangazia.

Luther akatetemeka wakati alipojiangalia mwenyewe--mtu mmoja akapinga watu wa

nguvu nyingi wa dunia. “Mimi nilikuwa nani?” akaandika, “kupinga enzi ya Papa, mbeie yake

... wafalme wa dunia na ulimwengu wote ulitetemeka? ... Hakuna mtu anaweza kujua namna

gani moyo wangu uliteseka mda wa miaka hii miwili ya kwanza na katika kukata tamaa,

naweza kusema katika kufa moyo, nilizama.” Lakini wakati usaada wa kibinadamu

50

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!