12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

mazabahu ya zahabu ya uvumba, ambalo wingu la manukato, pamoja na maombi ya Israeli,

yalikuwa yakipanda kila siku mbele za Mungu.

Katika Pahali patakatifu pa patakatifu palisimama sanduku, sanduku ilifunikwa na zahabu,

gala ya Amri Kumi. Juu ya sanduku kulikuwa na kiti cha rehema kilichokuwa na makerubi

wawili waliofanywa na zahabu ngumu. Ndani ya chumba hiki kuwako kwa Mungu

kulionekana katika wingu utukufu lililokuwa katikati ya kerubi.

Baada ya kuwekwa kwa Waebrania katika Kanana, hema ao maskani iliwakombolewa

kwa hekalu ya Solomono, ambayo, ijapo ni ya umbo la daima na ya ukubwa wa juu, ikafuata

ulinganifu wa namna moja na vyombo vivyo hivyo. Katika umbo hili hema likawako--

isipokuwa kwa wakati wa maangamizi wakati wa Danieli-hata maharibifu yake iliyofanywa

na wa Waroma katika mwaka A.D. 70. Hii ni Pahali patakatifu tu duniani ambapo Biblia

inatoa maelezo yote, Pahali patakatifu pa agano la kwanza. Lakini agano jipya halina Pahali

patakatifu?

Kurudi tena kwa kitabu cha Waebrania, wakatafuta ukweli wakaona kwamba Pahali

patakatifu pa agano la pili ao jipya ilionyeshwa katika maneno yaliyokwisha kuelezwa vizuri:

“Basi hata agano la kwanza lilikuwa na amri ya kuabudu Mungu, na Pahali patakatifu pake

pa dunia.” Kurudi nyuma kwa mwanzo wa sura ya kwanza, wanasoma: “Basi, neno kubwa

katika maneno haya tunasoma ni hii: Tuna kuhani mukubwa wa namna hii, aliyeketi mukono

wa kuume wa kiti cha Mwenyezi katika mbingu, mutumishi wa Pahali patakatifu, na wa hema

ya kweli, ndiyo Bwana aliisimamisha, wala si watu.” Waebrania 8:1,2.

Hapa panafunua Pahali patakatifu pa agano jipya... Pahali patakatifu pa agano la kwanza

ilitengenezwa na Musa; hii ilitengenezwa na Bwana. Katika patakatifu pale pa kidunia

makuhani walikuwa wakitenda huduma yao; katika hii, Kristo, Kuhani wetu Mkuu,

alihudumia kwa mukono wa kuume wa Mungu. Hema takatifu moja ilikuwa duniani, na

ingine ilikuwa mbinguni.

Hema iliyojengwa na Musa ilifanywa kwa mfano. Bwana alipokuwa akionyesha:

“Sawasawa na maneno yote ninayokuonyesha, mufano wa hema, mfano wa vyombo vyake

vyote, ndivyo mutakavyofanya.” “Na angalia uvifanye kwa mufano wao ulioonyeshwa

mulimani.” Hema ya kwanza ilikuwa “mufano wa wakati wa sasa; ndani yake sadaka na

zabihu zilitolewa”, mahali pake takatifu “mifano ya vitu vilivyo mbinguni.” Makuhani

walikuwa wakitumika kwa mufano na kivuli cha vitu vya mbinguni.” Kristo hakuingia katika

Pahali patakatifu palipofanywa kwa mikono, ndio mufano wa kweli, lakini aliingia mbinguni

zenyewe, aonekane sasa mbele ya Mungu kwa ajili yetu.” Kutoka 25:9,40; Waebrania 9:23;

8:5; 9:24.

Hema ya mbinguni ni asili kubwa ya hema Musa alijenga ambayo ilikuwa ni mfano. Fahari

ya hema ya kidunia ilikuwa mfano wa utukufu wa hekalu lile la mbinguni pahali Kristo

anapohudumia kwa ajili yetu mbele ya kiti cha ezi cha Mungu. Ukweli wa maana juu ya hema

168

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!