12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 38. Ujumbe wa Mungu Ulio wa Mwisho

“Nyuma ya maneno haya nikaona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni, mwenye

mamlaka kubwa; na dunia ikangazwa kwa utukufu wake. Akalia kwa sauti kubwa, akisema:

Umeanguka, umeanguka Babeli ule mkubwa, umekuwa makao ya mashetani, na boma la kila

pepo mchafu na boma la kila ndege mchafu mwenye kuchukiza;

Na nikasikia sauti nyingine toka mbinguni ikisema: Tokeni kwake, watu wangu,

musishirikiane na zambi yake, wala musipokee mapigo yake”. Ufunuo 18:1,2,4. Matangazo

yaliyofanywa na malaika wa pili ya Ufunuo 14 (fungu 8) ni ya kukaririwa, pamoja na mtajo

mwingine wa machafuko yaliokuwa yakiingia katika Babeli tangu ujumbe ulipotolewa mara

ya kwanza.

Hali ya kitisha inaelezwa hapa. Kwa kila kukataa kwa ukweli akili za watu zitakuwa giza

sana, mioyo yao mikaidi zaidi. Wataendelea kukanyanga mojawapo ya maagizo ya amri kumi

hata wanapotesa wale wanaoishika kuwa takatifu. Kristo anawekwa kwa sifuri juu ya zarau

lililowekwa kwa Neno lake na kwa watu wake.

Ungamo la dini litakuwa ni tendo la kudanganya kwa kuficha uovu wa msingi kabisa.

Uaminifu katika imani ya kuwa roho za watu waliokufa hurudi na kujionyesha na kuongea na

watu (spiritualisme) inafungua mlango kwa mafundisho ya mashetani, na kwa hivyo mvuto

wa malaika wabaya utaonekana katika makanisa. Babeli umejaza kipimo cha zambi zake, na

maangamizo ni karibu kuanguka.

Lakini Mungu akingali na watu katika Babeli, na waaminifu hawa wanapashwa kuitwa

kutoka ili wasishirikiane na zambi zake na “wasipokee mapingo yake”. Malaika anashuka

toka mbinguni kuangazia dunia kwa utukufu wake na kutangaza zambi za Babeli. Mwito

umesikilika: “Tokeni kwake, watu wangu”. Matangazo haya yanakuwa onyo ya mwisho

kutolewa kwa wakaaji wa dunia.

Nguvu za dunia, kuungana kwa vita kupinga amri za Mungu, zitaamuru ya kama “wote,

wadogo na wakubwa, na matajiri na masikini na wahuru na wafungwa” (Ufunuo 13:16)

watakubali desturi za kanisa kwa kushika sabato ya uwongo. Wote wanaokataa mwishoni

watatangazwa wenye kustahili mauti. Kwa upande mwingine, sheria ya Mungu inaagiza siku

ya pumziko ya Mungu inaonya hasira juu ya wote wanaovunja amri zake.

Kwa matokeo, ndivyo ilivyoletwa wazi mbele yake, ye yote atakayekanyanga juu ya

sheria ya Mungu na kutii sheria ya kibinadamu anapokea alama ya mnyama, ishara ya

uaminifu kwa uwezo anaouchagua kutii badala ya Mungu. “Mtu awaye yote akimsujudu huyo

mnyama na sanamu yake, yeye naye atakunywa katika mvinyo wa gazabu ya Mungu

iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake”. Ufunuo

14:9,10.

246

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!