12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 34. Roho za Wafu?

Mafundisho ya maisha ya milele ya kawaida, mara ya kwanza yaliletwa kutoka kwa

hekima ya kishenzi na katika giza ya maasi makubwa yaliyounganishwa katika imani ya

Kikristo, yakaondosha kweli ambayo “wafu hawajui kitu.” Muhubiri 9:5. Wengi wanaamini

ya kwamba pepo za wafu ni “roho za kutumikia, zilizotumwa kutumikia wale watakaoriti

wokovu.” Waebrania 1:14.

Imani ya kwamba roho za wafu zinarudi kutumia walio hai ikatayarisha njia kwa imani ya

wafu ya kisasa kuwa roho za watu waliokufa hurudi kujionyesha na kuongea na watu. Kama

wafu wanakuwa na majaliwa na maarifa inayopita zaidi ile waliyokuwa nayo mbele, sababu

gani kutorudi duniani na kufundisha wa hai? Kama roho za wafu zinatangatanga kwa rafiki

zao duniani, sababu gani hazipelekane habari nao? Namna gani wale wanaoamini katika

uaminifu wa kibinadamu katika mauti wanaweza kukana “nuru ya Mungu” iliyotolewa na

roho tukufu? Hapa kuna mferezi unaoweza kuangaliwa kama takatifu ambamo shetani

anatumika. Malaika walioanguka wanaonekana kama wajumbe kutoka ulimwengu wa kiroho.

Mfalme wa mabaya anakuwa na uwezo wa kuleta mbele ya watu mfano wa rafiki

waliokufa. Mfano ni kamilifu, ulifatishwa kwa uzahiri wa ajabu. Wengi wanafarijika na

hakikisho ya kwamba wapenzi wao wana furaha mbinguni. Bila mashaka ya hatari, wanatoa

sikio kwa roho za kudanganya, na mafundisho ya mashetani.” 1 Timoteo 4:1.

Wale waliokwenda kwa kaburi bila kujitayarisha wanadai kuwa na furaha na kuwa mahali

pa cheo bora huko mbinguni. Wageni wa uwongo kutoka kwa ulimwengu ya mapepo (spirits)

mara ingine hutoa maonyo halisi yanayoshuhudia kuwa hakika. Halafu, kwa hivi tumaini

linapatikana, wanafundisha mafundisho yale yanayongoa Maandiko. Kwa sababu kwamba

wanataja mambo mengine ya kweli na palepale kutabiri mambo ya wakati ujao jambo hilo

linatoa mfano wa hakika, na mafundisho yao ya uwongo yanakubaliwa. Sheria ya Mungu

huwekwa kando, Roho ya neema huzarauliwa. Pepo wanakana Umungu wa Kristo na

wanaweka Muumba kwa cheo pamoja na wao wenyewe.

Wakati inakuwa kweli kwamba matokeo ya udanganyifu mara kwa mara yamepokewa

kwa hila kama maonyesho ya kweli, pale kulikuwa, vilevile, maonyesho ya kupambanua ya

uwezo wa ajabu, kazi kabisa ya malaika waovu. Wengi wanaamini ya kwamba imani yakuwa

roho za watu waliokufa hurudi na kujionyesha na kuongea na watu ni ujanja tu wa

kibinadamu. Kama ikiletwa mbele ya maonyesho ambayo hawawezi kuizania namna ingine

isipokuwa kama ni ya ajabu, watadanganyiwa na kuyakubali kama uwezo mkubwa wa

Mungu.

Kwa msaada wa Shetani wachawi wa Farao wakaiga kazi ya Mungu. Tazama Kutoka

7:10-12. Paulo anashuhudia kwamba kuja kwa Bwana kutatanguliwa na “kutenda kwa

Shetani na uwezo wote, na ishara na maajabu ya uwongo”. 2 Watesalonika 2:9,10. Na Yoane

anatangaza: “Naye anafanya mastaajabu makubwa, hata kufanya moto kushuka toka mbingu

224

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!