12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sheria ya Mungu haibadilike, ufunuo wa tabia ya Muumba wake. Mungu ni mapendo, na

sheria yake ni mapendo. “Mapendo ni utimilifu wa sheria.” Asema mwandishi wa Zaburi:

“Na sheria yako ni kweli”; “maana maagizo yako yote ni haki.” Paulo anasema: “Basi torati

ni takatifu, na ile amri ni takatifu, na ya haki na njema.” Waroma 13:10; Zaburi 119:142,172;

Waroma 7:12. Sheria kama hiyo inapaswa kuwa ya kuendelea kama Muumba wake.

Ni kazi ya toba na utakaso kwa kupatanisha watu kwa Mungu kwa njia ya kuwapatanisha

katika umoja pamoja na kanuni za sheria. Katika mwanzo, mutu alikuwa katika umoja kamili

pamoja na sheria ya Mungu. Lakini zambi ikamtenga kwa Muumba wake. Moyo wake

ulikuwa kwa vita juu ya sheria ya Mungu. “Kwa sababu nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu,

kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi.” Waroma 8:7. Lakini “Kwa maana Mungu

alivyopenda ulimwengu, hata kutoa Mwana wake wa pekee,” ili mutu aweze kupatanishwa

kwa Mungu, kurudishwa kwa umoja pamoja na Muumba wake. Badiliko hili ni kuzaliwa

kupya, isipokuwa hivyo “hawezi kuona ufalme wa Mungu.” Yoane 3:16,3.

Kukubali Zambi

Hatua ya kwanza kwa upatanisho na Mungu ni kukubali zambi. “Zambi ni uasi (wa

sheria).” “Kwa njia ya sheria zambi inajulikana.” 1 Yoane 3:4; Waroma 3:20. Ili kuweza

kuona kosa lake, mwenye zambi anapaswa kupima tabia yake kwa kioo cha Mungu

kinachoonyesha ukamilifu wa tabia ya haki na kumwezesha kutambua pungufu ndani yake

mwenyewe.

Sheria inafunulia mtu zambi zake, lakini haitoi dawa. Inatangaza kwamba kifo ni sehemu

ya mkosaji. Injili ya kristo peke yake inaweza kumweka huru kwa hukumu ao uchafu wa

zambi. Anapashwa kuzoea kutubu mbele ya Mungu, kwa sheria yake iliyovunjwa, na imani

katika Kristo, kafara ya upatanisho wake. Kwa hivyo anapata “ondoleo la zambi zile

zilizopita” (Waroma 3:25) na anakuwa mwana wa Mungu.

Je, sasa anakuwa huru kuvunja sheria ya Mungu? Asema Paulo: “Basi, tunafanyiza sheria

kuwa bule kwa njia ya imani? Hapana, hata kidogo; lakini tunasimamisha sheria.” “Sisi

tuliokufia zambi, namna gani tutakaa ndani yake tena?” Yoane anasema: “Kwa maana

kupenda Mungu ni kushika amri zake; na amri zake si nzito.” Katika kuzaliwa kupya moyo

unaletwa katika umoja pamoja na Mungu, katika upatano pamoja na sheria yake. Wakati

badiliko hili linafanyika ndani ya mwenye zambi amepita toka mauti hata katika uzima,

kutoka kwa kosa na uasi hata kwa utii na uaminifu. Maisha ya zamani yameisha; maisha

mapya ya upatanisho, imani, na mapendo yameanza. Basi “haki ya sheria” “vita itimizwa

ndani yetu, tusiotembea kufuata maneno ya mwili, lakini kufuata maneno ya Roho.” Lugha

ya nafsi itakuwa: “Ee ninapenda sana sheria yako! Ni mawazo yangu muchana kutwa.”

Waroma 3:31; 6:2; 1 Yoane 5:3; Waroma 8:4; Zaburi 119:97.

Bila sheria, watu hawakubali kweli zambi yao na hawaone haja ya kutubu. Hawafahamu

moyoni mahitaji yao ya damu ya upatanisho wa Kristo. Tumaini la wokovu limekubaliwa bila

191

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!