12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kutoka kwa Luther Sasa, akaachwa peke yake pamoja na wasaidizi wake, wakatazamana wao

kwa wao na huzuni kwa kushindwa kusikotazamiwa katika mipango yake.

Makutano makubwa yaliyokuwa pale wakawa na nafasi ya kulinganisha watu wawili

hawa na kuhukumu wao wenyewe roho iliyoonyeshwa nao, vivyo hivyo na nguvu na ukweli

wa nia zao. Mtengenezaji, munyenyekevu, mpole, imara, kwa kuwa na ukweli kwa upande

wake; mjumbe wa Papa, mwenye kujisifu, mwenye kiburi, mpumbavu, bila hata neno moja

kutoka kwa Maandiko, lakini wa juhudi ya kupandisha sauti, “uKana, ao utumwe Roma.”

Kuokoka Toka Augsburg

Rafiki za Luther wakasihi sana kwamba hivi ilikuwa bure kwake kubakia, heri kurudi

Wittenberg bila kukawia, na lile onyo halisi lifuatwe. Kwa hiyo akaondoka Augsburg kabla

ya mapambazuko juu ya farasi, akisindikizwa na mwongozi moja tu aliyetolewa na mwamuzi.

Kwa siri akafanya safari yake katika njia za giza za mji. Maadui, waangalifu tena wauaji,

walikuwa wakifanya shauri la kumuangamiza. Nyakati hizo zilikuwa za mashaka na maombi

ya juhudi. Akafikia mlango katika ukuta wa mji. Ulifunguliwa kwa ajili yake, na pamoja na

mwongozi wake akapita ndani yake. Kabla mjumbe kupata habari ya safari ya Luther, alikuwa

mbali ya mikono ya watesi wake Kwa habari ya kutoroka kwa Luther mjumbe akajazwa na

mshangao na hasira. Alitumaini kupokea heshima kubwa kwa ajili ya mambo angatendea mtu

huyu anaye sumbuake kanisa. Katika barua kwa Frederick, mchaguzi wa waSaxony,

akashitaki Luther kwa ukali, kuomba kwamba Frederick amtume Mtengenezaji Roma ao

amfukuze kutoka Saxony.

Mchaguzi alikuwa hajafahamu sana mafundisho ya mtengenezaji, lakini alivutwa sana

kwa nguvu na usikivu wa maneno ya Luther. Frederick akaamua kuwa, mpaka wakati

mtengenezaji atahakikisha kuwa na kosa. Frederick akawamlinzi wake katika jibu kwa

mjumbe wa Papa akaandika: “Tangu Mwalimu Martino alipoonekana mbele yenu huko

Augsburg, mungepashwa kutoshelewa. Hatukutumainia kwamba mungemulazimisha kukana

bila kumsadikisha kwamba alikuwa na makosa. Hakuna wenye elimu hata mmoja katika

utawala wetu aliyenijulisha ya kwamba mafundisho ya Martino yalikuwa machafu, yakupinga

Kristo ao ya kupinga ibada ya dini.” Mchaguzi aliona kwamba kazi ya matengenezo

ilihitajiwa kwa sisi akafurahi kuona mvuto bora ulikuwa ukifanya kazi yake katika kanisa.

Mwaka mmoja tu ulipita tangu Mtengenezaji alipoweka mabishano kwa mlango wa

kanisa, lakini maandiko yake yaliamusha mahali pote usikizi mpya katika Maandiko

matakatifu. Si kwa pande zote tu za Ujeremani, bali kwa inchi zingine, wanafunzi

wakasongana kwa chuo kikuu. Vijana walipokuja mbele ya Wittenberg kwa mara ya kwanza

“wakainua mikono yao mbinguni, na kusifu Mungu kwa kuweza kuleta nuru ya ukweli

kuangaza kutaka mji huu.”

Luther alikuwa amegeuka nusu tu kwa makosa ya kanisa la Roma. Lakini aliandika,

“Ninasoma amri za maaskofu, na ... sijui kama Papa ndiye anayekuwa mpinzani wa Kristo

53

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!