12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Mapinduzi yakaweka mashini yake ya kukata watu vichwa ya kwanza. Ni mahali pale

ambapo, kwa karne ya kumi na sita, wafia dini wa kwanza wa imani ya Kiprotestanti

walichomwa, watu wa kwanza walikatwa vichwa kwa karne ya kumi na mnani. Wakati amri

za sheria ya Mungu ziliwekwa pembeni, taifa likaingia katika giza na machafuko ya mambo

ya utawala. Vita juu ya Biblia katika historia ya ulimwengu ikajulikana kwa jina la Utawala

wa hofu kuu. Yeye aliyeshinda leo akahukumiwa kesho yake.

Mfalme, waongozi wa dini, na wakuu wakalazimishwa kujiweka chini ya mambo ya

mabaya ya watu wenye wazimu. Wale walioamuru kifo cha mfalme mara wakamfuata kwa

jukwaa. Machinjo makubwa ya wote waliozaniwa kuwa na uchuki kwa Mapinduzi

yakakusudiwa. Ufransa ukawa shamba kubwa la mabishano, yaliyowayawaya kwa hasira kali

ya tamaa. “Katika Paris,fujo ikafuata fujo ingine, na wakaaji wakajitenga katika machafuko

ya fitina, yaliyoonekana yenye bidii si kwa kitu kingine bali kusudi moja. ... Inchi ilikuwa

karibu kushindwa, majeshi yalikuwa yakifanya fujo kwa ajili ya deni ya malipo, wakaaji wa

Paris walikuwa na njaa, mitaa ikaangamizwa na wanyanganyi, na utamaduni na maendeleo

vilikuwa karibu kukomeshwa katika machafuko ya mambo ya utawala na upotovu.”

Kwa yote haya watu wakajifunza mafundisho ya ukali na mateso ambayo Roma

ilifundisha kwa nguvu sana. Haikuwa sasa wanafunzi wa Yesu waliokokotwa kwa kigingi. Ni

Zamani walikuwa ao kuchinjwa wala kulazimishwa kujihamisha. “Damu ya wapadri

ilitiririka juu ya majukwaa. Majahazi na gereza, zamani zilikuwa zikijaa na Wahuguenots,

yakajaa sasa na watesi wao. Wakafungiwa na minyororo kwa viti vyao na kukokota kwa

gasia, wapadri wa Katoliki wa Roma wakajua misiba ile yote ambayo kanisa lao lilipatisha

kwa bure kabisa juu ya wazushi wapole.” (Tazama Nyongezo.)

“Ndipo siku zile zikaja ... wakati wapelelezi walijificha kwa kila pembe; wakati mashine

ya kukatia vichwa ilikuwa ndefu na ya nguvu kwa kazi kila asubuhi: wakati magereza zikijaa

kama kiwanja kama chumba cha chini cha merikebu ya watumwa; wakati damu na uchafu

vikawa kama pofu na kutiririka katika mifereji ya mabati hata mto seine” ... mistari mirefu ya

watumwa yalisukumwa chini kwa marisaa makubwa. Matundu yalifanywa katika upande wa

chini wa mashua kubwa iliosongana. ... Hesabu ya vijana wanaume na wanawake wa miaka

kumi na saba waliuawa kwa serekali ile mbaya sana, inajulikana kuwa mamia. Watoto

wachanga waliotengwa kwa kifua cha mama wakarushwa kutoka kwa mkuki na kwa mkuki

mwengine kwa cheo cha wa Jacobins.” (Tazama Nyongezo.)

Haya yote yalikuwa ni mapenzi ya Shetani. Amri yake ni madanganyo na makusudi yake

ni kuleta uharibifu juu ya watu, kutia haya kiumbe cha Mungu, kwa kuharibu kusudi la Mungu

la upendo, na kwa hiyo kuleta sikitiko mbinguni. Basi kwa mambo yake ya ufundi ya

kudanganya, huongoza watu kutupa laumu juu ya Mungu, kana kwamba mateso haya yote

yalikuwa matokeo ya shauri la Muumba. Wakati watu waliona dini ya Roma kuwa

danganyifu, akawashurutisha kuzania dini yote kama danganyifu na Biblia kama hadisi

(uongo).

112

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!