12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 18. Nuru Mpya Katika Dunia Mpya

Mkulima mwaminifu, wa haki, ambaye alitamani kujua ukweli, alikuwa mtu

aliyechaguliwa na Mungu kuongoza katika kutangaza kuja kwa Kristo mara ya pili. Kama

watengenezaji wengi wengine, William Miller alipigana na umaskini na akajifunza fundisho

la kujikana.

Hata katika utoto alitoa ushuhuda wa uwezo wa akili zaidi kuliko ule wa kawaida. Kwa

kukomaa kuwa mtu mzima, akili yake ilikuwa ya utendaji na ikaendelea sana, na alikuwa na

kiu cha bidii kwa maarifa. Upendo wake wa kujifunza na tabia ya mafikara ya uangalifu

kuambatana na ujuzi vikamfanya kuwa mtu wa hukumu na maono ya uchunguzi. Alikuwa na

tabia ya matendo mema isiyolaumiwa na sifa nzuri. Alifanya kazi za serkali na za kiaskari

pamoja na sifa njema. Utajiri na heshima vilionekana kufunguliwa sana kwake.

Katika utoto alikuwa mtu wa mawazo ya dini. Mawazo ya mtu mkubwa, kwa hivi

akajiingiza katika jamii ya watu wanaokuwa na imani katika Mungu (deistes), mvuto wake

ulikuwa wa nguvu kwa jambo kwamba walikuwa karibu raia wema,wapole na wakarimu.

Kuishi kati ya vyama vya Kikristo, tabia zao zilikuwa za kadiri zilizofanywa na wale

waliowazunguuka. Kwa ajili ya wema ambao uliwapatia heshima, wakawapashwa kushukuru

Biblia, na zawadi hizi nzuri zikawaongoza kwa kutumia mvuto juu ya Neno la Mungu. Miller

akaongozwa kuitika nia zao.

Mafasiri ya kisasa ya Maandiko yalionyesha magumu ambayo ilionekana kwake kwamba

kubwa sana; lakini imani mpya yake, kwa kuweka Biblia kando, haikumsaidia kitu, na akawa

mbali ya kutoshelewa. Lakini wakati Miller alipokuwa na miaka makumi tatu na ine, Roho

Mtakatifu akamfahamisha moyo wake kwa hali aliyokuwamo kama mwenye zambi. Hakuona

tumaini la furaha ngambo ya pili ya kaburi. Wakati ujao ulikuwa giza na huzuni. Kwa

kutazama mawazo yake ya moyo kwa wakati huu, akasema: 1

“Mbingu zilikuwa kama shaba juu ya kichwa changu, na dunia kama chuma chini ya

miguu yangu... Nilipofikiri zaidi hukumu zangu zikatawanyika. Nikajaribu kukataza mawazo

yangu, lakini mawazo yangu haikuweza kutawalika. Nikawa maskini kwa kweli, lakini bila

kufahamu sababu. Nikanungunika na kulalamika, lakini sikujua juu ya nani. Nikajua kwamba

kosa lilikuwako, lakini sikujua namna gani ao mahali gani kupata haki.”

Miller Anapata Rafiki

“Kwa gafula,” akasema, “tabia la Mwokozi likaonekana kabisa kwa akili yangu.

Inaonekana kwangu kufahamu kwamba kuna Kiumbe kizuri sana na chenye huruma kwa

kufanya mwenyewe upatanisho wa makosa yetu, na kutuokoa kwa kuteseka kwa azabu ya

zambi... Lakini swali likatokea, Namna gani itawezekana kuhakikisha kwamba kiumbe cha

namna hii kinakuwako? Inje ya Biblia, niliona kwamba sikuweza kupata ushahidi wa kuwako

kwa Mwokozi wa namna ile, ao hata hali ya wakati ujao...

126

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!