12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Uharibifu wa kiroho katika Uingereza kabla ya wakati wa Wesley ulikuwa katika hali

kubwa matokeo ya mafundisho kwamba Kristo alifuta kanuni ya mema na mabaya na

kwamba Wakristo hawakuwa na lazima ya kuishika. Wengine wakasema kwamba ilikuwa si

lazima kwa wachungaji kuonya watu kutii amri zake, kwani wale ambao Mungu

aliowachagua kwa wokovu “wataongozwa kufuata utawa na wema” wakati wale

waliohukumiwa laana ya milele “hawakuwa na uwezo kwa kutii sheria ya Mungu.”

Wengine wakishikilia kwamba “wateule hawawezi kukosa neema ya Mungu wala,

kunyanganywa kibali cha Mungu,” walipofikia mwisho kwamba “matendo mabaya

wanayotenda si maovu, ... na kwamba, baadaye, hawana na nafasi wala kuungama zambi zao

ao kuyaacha kwa njia ya toba.” Kwa hiyo, wakatangaza, hata zambi moja katika zambi mbaya

kuliko” zilizozaniwa kwa wote kuwa mvunjo mkubwa zaidi wa amri za Mungu kama si zambi

mbele za Mungu “kama ikitendwa na mmojawapo wa wateule.” Hawawezi kufanya kitu cho

chote kisicho mpendeza Mungu ao kilichokatazwa na sheria.”

Mafundisho haya mabaya yanakuwa sawa sawa na mafundisho ya mwisho kwamba

hakuna sheria ya Mungu inayogeuka kama kipimo cha haki, lakini tabia hiyo ilionyeshwa na

chama chenyewe na mara kwa mara ilipaswa kubadirishwa. Mawazo haya yote yalitoka

kwake ambaye miongoni mwa wakaaji wasio na kosa wa mbinguni alianza kazi yake kwa

kuvunja amri za haki za sheria ya Mungu.

Mafundisho haya mabaya juuya amri za Mungu, zisizogeuka kwa kuimarisha tabia ya

watu iliongoza wengi kukataa sheria ya Mungu. Wesley kwa uhodari akapinga mafundisho

haya ambayo yaliongoza watu kupinga amri ya Mungu, mafundisho juu ya hali ya kila mtu

(Predestination). “Neema ya Mungu inayoleta wokovu imeonekana kwa watu wote.” “Mungu

Mwokozi wetu anayetaka watu wote waokolewa na kupata ujuzi wa kweli. Kwani kuna

Mungu mmoja, na mupatanishi katikati ya Mungu na watu ni mmoja, yule mtu ni Kristo Yesu,

aliyejitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote. ” Kristo “Nuru ya kweli inaangazia

nuru kila mtu anayekuja katika ulimwengu.’‘ Tito 2:11; 1 Timoteo 2:3-6; Yoane 1:9. Watu

wanaoshindwa kupata wokovu ni wale wanaokataa kwa mapenzi yao zawadi ya uzima.

Katika Utetezi wa Sheria ya Mungu

Katika kujibu madai kwamba wakati wa kifo cha Kristo, amri kumi ziliondolewa pamoja

na sheria za kawaida, Wesley akasema: “Sheria ya tabia, inayokuwa katika Amri Kumi na

ikatiliwa nguvu na manabii, hakuitosha. Hii ni sheria ambayo haiwezi kamwe kuvunjwa,

ambayo `inasimama imara kama shuhuda mwaminifu mbinguni.’”

Wesley akatangaza umoja kamilifu wa sheria na injili. “Kwa upande moja sheria kwa

kuendelea kutuongoza kwa injili, kwa ngambo ingine injili huendelea kutuwezesha kutimiza

utimilifu inafanya njia kuwa na sheria, kwa mfano, inatuamuru kumpenda Mungu, kupenda

jirani wetu, kuwa wapole, wanyekevu ao watakatifu. Tukijisikia kwamba hatutoshi kwa

mambo haya; ... lakini tunaona ahadi ya Mungu kutupatia upendo huo, na kutufanya

103

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!