12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Wakatoliki wa Roma wanatambua kwamba badiliko la Sabato lilifanywa na kanisa lao, na

kutangaza kwamba Waprotestanti, kwa kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma),

wanatambua mamlaka ya Roma. Maneno yamesemwa: “Wakati wa sheria ya kale, jumamosi

(siku ya saba) ilikuwa siku iliyotakaswa; lakini kanisa, lilipoagizwa na Yesu Kristo, na

kuongozwa na Roho ya Mungu, likabadilisha Jumapili (siku ya kwanza ya juma: Dimanche)

kwa Jumamosi (siku ya saba ya juma:Samedi), kwa hiyo tunatakasa siku ya kwanza, si siku

ya saba, Jumapili maana yake, na sasa ni, siku ya Bwana.”

Kama alama ya mamlaka ya Kanisa la Wakatoliki, waandishi wa Kanisa la Roma

wananena “Tendo kabisa la kugeuza Sabato kwa Jumapili (siku ya kwanza ya juma), ambalo

Waprotestanti wanakubali; ... kwa sababu ya kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma),

wanakubali mamlaka ya kanisa kwa kuamuru siku kuu, na kuzitawala chini ya zambi.”

Ni nini tena badiliko la Sabato, lakini ni alama, ao chapa, cha mamlaka ya Kanisa la Roma-

-“chapa ya mnyama”? Kanisa la Roma halikuacha madai yake kwa mamlaka. Wakati

ulimwengu na makanisa ya Waprotestanti wanapokubali sabato iliotungwa na Roma, wakati

wanapokataa Sabato ya Biblia, wanakubali kwa kweli majivuno haya. Kwa kufanya vile

wanazarau kanuni zinazowatenga kwa Roma--kwamba “Biblia, na ni Biblia tu, ni dini ya

Waprotestanti.” Kwa namna mwendo kwa ajili yakulazimisha Jumapili (siku ya kwanza ya

juma) unapata upendeleo, mwishoni italeta Waprotestanti wote chini ya bendera ya Roma.

Wakristo wa Kanisa la Roma wanatangaza kwamba “kushika Jumapili (siku ya kwanza

ya juma) kwa Waprotestanti ni heshima kuu wanatoa, kwa kujichukia wenyewe, kwa

mamlaka ya Kanisa .”7 Kwa kulazimisha kazi ya dini kwa mamlaka ya serkali ni kufanya

sanamu kwa mnyama; kwa hiyo kulazimisha kushika Jumapili (siku ya kwanza ya juma)

katika Amerika kungekuwa kulazimusha kuabudu ya mnyama na sanamu yake.

Wakristo wa vizazi vilivyopita walishika Jumapili (siku ya kwanza ya juma) wakizani

kwamba walikuwa wakishika Sabato ya Biblia, sasa kunakuwa Wakristo wa kweli katika kila

kanisa ambao kwa uaminifu wanaamini kwamba Jumapili (siku ya kwanza ya juma) ni agizo

la kimungu. Mungu anakubali uaminifu wao na uhaki yao. Lakini wakati kushika Jumapili

(siku ya kwanza ya juma) itakapolazimishwa kwa sheria na ulimwengu utaangaziwa juu ya

Sabato ya kweli, ndipo ye yote atakayevunja amri ya Mungu kwa kutii amri ya Roma kwa

hiyo atakuwa anaheshimu mafundisho ya kipapa kuliko ya Mungu. Anakuwa akitoa heshima

kwa Roma. Anakuwa akiabudu mnyama na sanamu yake. Ndipo watu watapokea chapa cha

utii kwa Roma--“chapa ya mnyama.” Yale hayatafanyika hata mambo yanapowekwa wazi

mbele ya watu na watakapoletwa kwa kuchagua kati ya amri za Mungu na amri za watu, ndipo

wale wanaoendelea katika kuvunja amri watapokea “chapa ya mnyama.”

Onyo la Malaika wa Tatu

Hofu ya kutisha zaidi iliyoambiwa daima kwa wanadamu inakuwa katika ujumbe wa

malaika wa tatu. Watu hawapaswi kuachwa gizani juu ya jambo hili la maana; onyo linapaswa

184

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!