12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Mnyama” wa hiyo ibada inayolazimishwa ni wa kwanza, ao ya mfano wa chui, nyama

wa Ufunuo 13--Kanisa la Roma (Papa). “Sanamu kwa mnyama” ni mfano wa namna ile ya

Dini ya Kiprotestanti iliyokufuru ambayo itasitawi wakati makanisa ya Waprotestanti

yanapotafuta msaada wa mamlaka ya serkali kwa ajili ya mkazo wa mafundisho ya kanuni

zao. “Chapa ya nyama” inaendelea kuelezwa.

Wale wanaoshika amri za Mungu wanakuwa tofauti na wale wanaoabudu mnyama na

sanamu yake na kupokea chapa yake. Uchungaji wa sheria ya Mungu, kwa upande moja, na

mvunjo wake, kwa upande mwengine, utafanya tofauti kati ya waabudu wa Mungu na

waabudu wa mnyama.

Tabia ya kipekee ya mnyama na ya sanamu yake ni kuvunja amri za Mungu. Asema

Danieli, juu ya pembe ndogo, kanisa la Roma (Papa): “Atafikiri kugeuza nyakati na sheria.”

Danieli 7:25.R.V. Paulo akataja mamlaka ya namna moja “mtu yule wa kuasi” (2

Watesalonika 2:3), aliyejiinua mwenyewe juu ya Mungu. Ila tu kwa kugeuza sheria ya Mungu

kanisa la Roma (Papa) liliweza kujiinua lenyewe juu ya Mungu. Mtu ye yote ambaye

angeshika sheria kwa kufahamu kama ilivyogeuzwa angekuwa anatoa heshima kubwa kwa

sheria za Papa, chapa cha utii kwa Papa pahali pa Mungu.

Kanisa la Roma (Papa) limejaribu kugeuza sheria ya Mungu. Amri ya ine imebadilika hivi

kama kuruhusu kushika siku ya kwanza badala ya siku ya saba kama Sabato. Badiliko la

kusudi, la kufikiri linaonyeshwa: “Atafikiri kugeuza nyakati na sheria.” Badiliko katika amri

ya ine kabisa linatimiza unabii. Hapa uwezo wa Papa unajiweka mwenyewe kwa wazi juu ya

Mungu. Waabudu wa Mungu watatofautika kwa kipekee kwa kushika kwao kwa amri ya ine,

alama ya uwezo wake wa kuumba. Waabudu wa mnyama watatofautika kwa kufanya nguvu

ili kupasua ukumbusho wa Muumba, kuinua sheria ya Roma. Ilikuwa kwa ajili ya Jumapili

(siku ya kwanza) kama “siku ya Bwana” ambayo mafundisho ya kanisa la Roma yalitetea

kwa mara ya kwanza madai yake ya kiburi. (Tazama Mwisho wa kitabu, Nyongezo). Lakini

Biblia inaonyesha siku ya saba kuwa siku ya Bwana. Akasema Kristo: “Basi, Mwana wa watu

ndiye Bwana wa sabato vilevile.” Marko 2:28. Utazame tena Isaya 58:13; Matayo 5:1719.

Maneno yanayotangazwa mara kwa mara kwamba Kristo aligeuza Sabato yamekataliwa na

maneno yake mwenyewe.

Kimya Kamili wa Agano Jipya

Waprotestanti wanatambua “kimya kamili cha Agano Jipya kadiri hakuna agizo lo lote

wazi kwa ajili ya Sabato (Jumapili, siku ya kwanza ya juma) wala kanuni halisi kwa kushikwa

kwake zinazohusiana nayo.”

“Hata kwa wakati wa kufa kwa Kristo, hakuna badiliko lililofanyika katika siku”; na “ni

hivyo kama maandiko yanavyoonyesha, wao (mitume) ... hawakutoa agizo lo lote la wazi

kuonyesha kuachwa kwa Sabato ya siku ya saba, na kushikwa kwake kwa siku ya kwanza ya

juma.”

183

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!