12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Zahabu safi ya upendo wa wanafunzi kwa ajili ya Yesu ilichanganyika na msingi wa tamaa

mbaya ya choyo. Maono yao yalivutwa na kiti cha ufalme, taji, na utukufu. Kiburi chao cha

moyo, kiu cha utukufu wa kidunia, vikawaongoza kupita bila kujali maneno ya Mwokozi ya

kuonyesha asili ya kweli ya ufalme wake, na kuonyesha zaidi kifo chake. Makosa haya

yaliishia kwa jaribio ambalo liliruhusiwa kwa ajili ya kusahihishwa kwao. Kwa wanafunzi

ilikuwa ni kutolewa Habari Njema ya utukufu ya Bwana wao aliyefufuka. Kuwatayarisha kwa

kazi hii, maarifa ambayo yalionekana machungu sana yaliruhusiwa.

Baada ya kufufuka kwake Yesu akajionyeshea kwa wanafunzi wake njiani kwenda

Emausi, na, “akawaelezea maana ya maneno yote yaliyo andikwa juu yake.” Ilikuwa kusudi

lake kukaza imani yao juu ya “neno la kweli la unabii.” (Luka 24:27; 2 Petro 1:19). Si kwa

ushuhuda wake mwenyewe tu, bali kwa mambo ya unabii wa Agano la Kale. Na kama hatua

ya kwanza kabisa katika kutoa maarifa haya, Yesu akaongoza wanafunzi kwa “Musa na

manabii wote” wa Maandiko ya Agano la Kale.

Kutoka kwa Kukata Tamaa na Kuelekea Uhakikisho Tumaini

Kwa namna kamilifu zaidi kuliko wakati wote wa mbele wanafunzi walikuwa

“wamemwona, yule ambaye Musa katika sheria, na manabii, waliandika, juu yake.” Mashaka,

kukata tamaa, yakatoa nafasi kwa uhakikisho, kwa imani isiyokuwa na wingu. Walipita katika

jaribio kubwa lisiloawezekana na waliona namna gani neno la Mungu lilipata ushindi kwa

kutimilika. Toka sasa na kuendelea nikitu gani kingeweza kutisha imani yao? Katika huzuni

kali zaidi walipata “faraja yenye nguvu”, tumaini lililokuwa kama “nanga ya roho, vyote

viwili kweli na kusimama imara.” Waeb. 6:18, 19.

Asema Bwana: “Watu wangu hawatapatishwa haya kamwe.” “Kilio kinakawia kwa usiku,

lakini furaha asubui.” Yoeli 2:26; Zaburi 30:5. Kwa siku ya kufufuko kwake wanafunzi hawa

wakakutana na Mwokozi, na mioyo yao ikawaka ndani yao walipokuwa wakisikiliza maneno

yake. Kabla ya kupanda kwake, Yesu akawaagiza, “Kwendeni katika duniani pote,

mukahubiri Habari Njema,” akaongeza “Na tazama, mimi ni pamoja nanyi siku zote.” Marko

16:15; Matayo 28:20. Kwa siku ya Pentekote Mufariji aliyeahidiwa akashuka, na roho za

waaminifu zikasisimka na kwa kuona kuwapo kwa Bwana wao aliyepanda (mbinguni).

Ujumbe wa Wanafunzi Ulilinganishwa na Ujumbe wa 1844

Maarifa ya wanafunzi kwa kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo yalikuwa na sehemu

yake katika maarifa ya wale waliotangaza kuja kwake kwa mara ya pili. Kama vile wanafunzi

walivyohubiri, “Wakati umetimia, ufalme wa Mungu ni karibu,’‘ vilevile Miller na washiriki

wake walitangaza kwamba mda wa unabii wa mwisho katika Biblia ulikuwa karibu kuisha,

kwamba hukumu ilikuwa karibu, na kwamba ufalme wa milele ulipashwa kuingizwa.

Mahubiri ya wanafunzi kwa habari ya nyakati yalisimamia juu ya majuma makumi saba ya

Danieli 9. Ujumbe uliotolewa na Miller na washiriki wake ulitangaza mwisho wa siku 2300

141

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!