12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

ya tanuru inaonekana karibu kuwateketeza, lakini Mtakasaji atawaleta kama zahabu

iliyojaribiwa ao kutakaswa katika moto.

Imani lnayovumilia

Wakati wa taabu na maumivu makuu yanayokuwa mbele yetu yatadai imani ile inayoweza

kuvumilia ulegevu, kukawia, na njaa, imani ambayo haitalegea katika majaribu makali.

Ushindi wa Yakobo ni ushuhuda wa nguvu ya maombi ya kushurutisha. Wote watakaoshikilia

ahadi za Mungu, kama alivyofanya, watafaulu kama alivyofaulu. Kushindana na Mungu--

namna gani wachache wanaojua umuhimu wake! Wakati mawimbi ya kukata tamaa

yanapopita kwa nguvu juu ya mwombaji, namna gani wachache wanashikamana katika imani

na ahadi za Mungu.

Wale wanaotumia imani ndogo tu sasa wanakuwa katika hatari kubwa ya kuanguka chini

ya mamlaka ya madanganyo ya Shetani. Na hata kama wanavumilia jaribu watatumbukia

katika wasiwasi kubwa wakati wa taabu kwa sababu hawakuifanya kamwe kuwa zoezi la

kumtumaini Mungu. Inatupasa sasa kutibitisha ahadi zake.

Kila mara taabu ni kubwa linapofikiriwa aotendwa la mbele kuliko wakati ule kwa hakika

linapashwa kutendeka ao kuonekana, lakini hii si kweli juu ya wakati wa taabu unaokuwa

mbele yetu. Maelezo mengi ya wazi hayawezi kuikia ukubwa wa majaribu. Kwa wakati ule

wa shida kila nafsi inapashwa kusimama yenyewe mbele ya Mungu.

Sasa, wakati kuhani wetu Mkubwa anapofanya upatanisho kwa ajili yetu, inatupasa

kutafuta kuwa wakamilifu katika Kristo. Si kwa wazo ambalo mwokozi wetu aliweza

kuwezeshwa kujitoa kwa uwezo wa majaribu. Shetani anapata ndani ya mioyo ya kibinadamu

mahali padogo ambapo anaweza kupata tegemeo la kusimamisha mguu; tamaa fulani ya

zambi inatunzwa pale, na kwa njia ambayo majaribu yake kusimamia uwezo wao. Lakini

Kristo anajitangaza mwenyewe: “Mkubwa wa dunia hii anakuja; na yeye hana kitu ndani

yangu.” Yoane 14:30. Shetani hakuweza kupata kitu ndani ya Mwana wa Mungu ambacho

kingeweza kumwezesha kupata ushindi. Hapakuwa zambi ndani yake ambayo Shetani

angeweza kutumia kwa faida yake. Hii ni kawaida ambayo inapashwa kujitenga kwao

watakaosimama katika wakati wa taabu.

Ni katika maisha haya ambayo tunapashwa kujitenga na zambi, katika imani kwa damu

ya Kristo ya upatanisho. Mwokozi wetu wa damani anatualika kujiunga kwake sisi wenyewe,

kuunga uzaifu wetu kwa nguvu zake, kutostahili kwetu kwa matendo mema yake. Inabaki

kwetu kushirikiana mbingu katika kazi ya kulinganisha tabia zetu kwa mfano wa Mungu.

Kazi ya Shetani ya kudanganya na uharibifu itafikia kipimo cha juu (mwisho) wakatiwa

taabu. Maono ya kuogofya ya tabia isiyokuwa ya kibinadamu karibu yatafunuliwa katika

mbingu, kwa alama ya uwezo wa kazi za miujiza ya mashetani. Pepo wabaya wataendelea

kwa “falme za dunia” na kwa ulimwengu wote, kuwashurtisha kuungana na Shetani katika

mapigano yake ya mwisho juu ya serkali ya mbinguni. Watu watatokea kudai kuwa Kristo

254

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!