12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Mimi nitamupa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.” Ahadi hii ni

ya wale tu wanaokuwa na kiu. “Yeye anayeshinda atariti maneno haya, nami nitakuwa Mungu

wake, naye atakuwa mwana wangu.” Ufunuo 21:6,7. Mashairi yameelezwa. Kwa kuriti vitu

vyote, inatupasa kushinda zambi.

“Lakini haitakuwa heri kwake mwovu.” Muhubiri 8:13. Mwenye zambi anajiwekea

mwenyewe “hasira kwa siku ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu, atakayelipa

kila mutu kwa kadiri ya matendo yake;” “mateso na taabu juu ya kila nafsi ya mutu

anayefanya uovu.” Waroma 2:5,6,9.

“Hakuna mwasherati wala mutu muchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu,

aliye uriti katika ufalme wa Kristo na Mungu.” “Heri wale wanaofula nguo zao, wawe na amri

kwendea mti wa uzima, na kuingia katika muji kwa milango yake. Lakini inje ni imbwa, na

wachawi, na wazini, na wauaji, na wanaoabudu sanamu, na kila mutu anayependa uwongo na

kuufanya.” Waefeso 5:5, ARV; Ufunuo 22:14,15.

Mungu amewatolea watu tangazo la kanuni ya matendo na zambi. “Waovu wote

atawaharibu.” ‘’Lakini wakosaji wataharibiwa pamoja; mwisho wa waovu utaharibiwa.”

Zaburi 145:20; 37:38. Mamlaka ya serikali ya Mungu itaharibu maasi, lakini haki ya kulipiza

kisasi itakuwa aminifu pamoja na tabia ya Mungu kama wa rehema, na wema.

Mungu hashurutishe mapenzi. Hapendezwi na utii wa utumwa. Anataka ya kama viumbe

vya mikono yake watampenda kwa sababu anastahili upendo. Angaliwatakia wamtii kwa

sababu wanakuwa na shukrani ya akili kwa hekima yake, haki, na wema.

Kanuni za serkali ya Mungu zinakuwa katika umoja pamoja na amri ya Mwokozi,

“Pendeni adui zenu.” Matayo 5:44. Mungu anatimiliza haki kwa waovu kwa ajili ya uzuri wa

viumbe vyote na hata kwa ajili ya uzuri wa wale ambao hukumu zake zitakapowatazama.

Angewafurahisha kama awezavyo. Amewazunguusha na alama za upendo wake na

kuwafuatisha na matoleo za rehema; lakini wanazarau upendo wake, wanavunja sheria yake,

na kukataa rehema yake. Kupokea daima zawadi zake, wanampatisha haya Mtoaji. Bwana

anavumilia ukaidi wao wakati mrefu; lakini je, atawafunga waasi hawa kwa upande wake,

kuwalazimisha kufanya mapenzi yake?

Hawakutayarishwa Kuingia Mbinguni

Wale waliochagua Shetani kuwa kiongozi wao hawakutaya-rishwa kuingia machoni pa

Mungu. Kiburi, uongo, uasherati, ukali, yamekazwa katika tabia zao. Je, wanaweza kuingia

mbinguni kukaa milele pamoja na wale ambao waliwachukia duniani? Kweli haitaweza kuwa

ya kupendeza kwa mwongo; upole hautaweza kutuliza kujisifu; usafi hauwezi kukubaliwa

kwa mwovu; upendo usiotaka faida hauonekane wa kuvuta kwa mwenye choyo. Ni furaha

gani mbingu ingeweza kutoa kwa wale wanaoshughulika sana katika faida za kujipendeza

nafsi?

220

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!