12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kidogo sana ya kwamba wandeni kwa maisha yao juu ya waaminifu wachache ambao

wanafurashwa kwa kuwagandamiza.

Kila mara katika baraza za ulimwengu huu, malaika wamekuwa wanenaji. Masikio ya

kibinadamu yamesikiliza kwa miito yao, midomo ya kibinadamu yamezihakia mashauri yao.

Wajumbe hawa wa mbinguni wametibitisha vyema kuliko wao wenyewe kuweza kutetea kisa

cha waliozulumiwa kuliko wateteaji wao wenye uwezo wa kusema vema. Wameshinda na

kufunga waovu wale wangeleta mateso kwa watu wa Mungu.

Kwa tamaa ya bidii, watu wa Mungu wanangojea ishara za kuja kwa Mfalme wao. Wakati

wale wanaoshindana wanapoendesha maombi yao mbele ya Mungu, mbingu zaangaza na

mapambazuko ya siku ya milele. Kama sauti tamu za nyimbo za malaika maneno yanaanguka

kwa sikio: “saidia anakuja. ” Sauti ya Kristo inakuja kutoka kwa milango wazi: “Tazama,

ninakuwa pamoja nanyi. Msiogope. Nimepigana vita kwa ajili yenu, na katika jina langu

munakuwa zaidi kuliko washindaji.”

Mwokozi mpenzi atatuma msaada wakati tunapouhitaji. Wakati wa taabu ni hatari ya

kutisha kwa watu wa Mungu, lakini kila mwamini wa kweli anaweza kuona kwa imani upindi

wa ahadi ukimzunguka. “Hivi watu waliokombolewa na Bwana watarudi, watafika Sayuni na

kuimba; Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; watapata shangwe na furaha; huzuni

na kulia kutakimbia”. Isaya 51:11.

Kama damu ya washuhuda wa Kristo ilimwangika kwa wakati huu, uaminifu wao

haungekuwa ushuhuda kusadikisha wengine kwa ajili ya kweli, kwa maana moyo mgumu

umefukuza nyuma mawimbi ya rehema hata yasirudi tena. Kama wenye haki wanapashwa

sasa kuanguka kuwa mawindo kwa adui zao, ingekuwa ushindi kwa mtawala wa giza. Kristo

amesema: “Muje, watu wangu, mwingie ndani ya vyumba vyenu, na kufunga milango yenu

nyuma yenu; mujifiche kwa dakika kidogo, hata wakati kasirani hii inapopita. Kwa maana

tazama, Bwana anakuja kutoka pahali pake kuazibu wenye kukaa duniani kwa ajili ya uovu

wao”. Isaya 26:20,21.

Wokovu utakuwa wa utukufu wa wale waliongojea kwa uvumilivu kwa ajili ya kuja

kwake na majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima.

258

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!