12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

aliyempeleleza chumbani mwake, akamkuta akijifunza kila wakati ao akiomba, na akajulisha

kwamba mpinga imani ya dini huyo alikuwa “mtawa sana.”

Katika mkutano, “Eckakapanda na majivuno katika mimbara iliyopambwa vizuri sana,

lakini mnyenyekevu Oecompade, aliyevaa mavazi ya kiasi, akalazimishwa kuchukua kiti

chake mbele ya mpinzani wake kwa kiti kilichochorwa vibaya sana.” Sauti ya nguvu ya Eck

na majivuno mingi hakumtisha. Mtetezi wa imani alikuwa anatazamia mshahara mzuri.

Wakati alipokosa mabishano bora, akatumia matukano na hata maapizo ama laana.

Oecolampade, mwenye adabu na mwenye kujihazari, akakataa kushiriki katika

mabishano. Ingawa alikuwa mpole na adabu katika mwenendo, akajionyesha mwenyewe

kuwa na uwezo na imara. Mtengenezaji akashikamana kwa nguvu katika Maandiko.

“Desturi,” akasema, “haina uwezo katika Usuisi wetu, isipokuwa kwa sheria; sasa katika

mambo ya imani, Biblia ndiyo sheria yetu.”

Utulivu, kutumia akili kwa Mtengenezaji, unyenyekevu na adabu ulioonyeshwa, ikavuta

mafikara na watu wakachukia majivuno ya kiburi cha Eck.

Mabishano yakaendelea kwa mda wa siku kumi na mnane. Wakatoliki wakadai ushindi.

Kwa namna wajumbe wengi walikuwa wa upande wa Roma, na baraza ikatangaza kwamba

Watengenezaji walishindwa na pamoja na Zwingli, waondoshwe kanisani. Lakini

mashindano yakatokea katika mvuto wa nguvu kwa ajili ya Waprotestanti. Baada ya mda

mfupi tu, miji mikubwa ya Berne na Bâ le ikajitangaza kuwa kwa upande wa Matengenezo.

Sura 10. Maendeleo Katika Ujeremani

Kutoweka kwa ajabu kwa Luther kukaweka Ujeremani wote katika hofu kubwa. Habari

ikatangazwa na wengi wakaamini kwamba aliuawa. Kukawa maombolezo makubwa, na

wengi wakaapa kwa kitisho kulipiza kisasi cha kifo chake.

Ijapo waiishangilia mara ya kwanza kwa ajili ya kifo kilichozaniwa cha Luther, adui zake

walijazwa na hofu kuwa sasa kwamba amekuwa mfungwa. “Njia moja tu inayotubakilia kwa

kuokoa kesi letu,” akasema mmoja wao, “ni kuwasha mienge, na kumuwinda Luther katika

ulimwengu wote na kumrudisha kwa taifa linalomwita.” Kusikia kwamba Luther alikuwa

salama, ijapo alikuwa mfungwa, jambo hili likatuliza watu, huku wakisoma maandiko yake

kwa bidii sana kuliko mbele. Hesabu ya wale walioongezeka wakajiunga kwa kisa cha

mshujaa aliyetetea Neno la Mungu.

Mbegu ambayo Luther alipanda ikatoa matunda mahali pote. kutokuwapo kwake

kukafanya kazi ambayo kuwako kwake hakungeweza kufanya. Na sasa mwongozi wao mkuu

ameondolewa, watumikaji wengine wakafanya bidii ili kazi ya maana sana iliyoanzishwa

isipingwe. Sasa Shetani akajaribu kudanganya na kuangamiza watu kwa kuwapokeza kazi

iliyogeuzwa kwa hila pahali pa kazi ya kweli. Kwa namna kulikuwa Wakristo wa uongo kwa

karne la kwanza, ndipo kukatokea manabii wa uongo kwa karne ya kumi na sita.

71

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!