12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Yule aliyeahidi uzima katika uasi alikuwa mdanganyi mkubwa. Na tangazo la nyoka

katika Edeni--“Hakika hamutakufa”--lilikuwa hubiri la kwanza lililohubiriwa daima juu ya

kutokufa kwa roho (nafsi). Lakini tangazo hili, la kubaki tu kwa mamlaka ya Shetani,

linakaririwa kwa mimbara na kukubaliwa kwa watu wengi kwa upesi kama mbele kwa wazazi

wetu wa kwanza. Hukumu ya Mungu, “Nafsi inayofanya zambi itakufa” (Ezekieli 18:20)

inafanywa kwa kutaka kuonyesha, Nafsi inayofanya zambi, haitakufa, lakini itaishi milele na

milele. Kama mtu angalipewa ruhusa ya uhuru ya kukaribia mti wa uzima, baada ya kuanguka

kwake, zambi zingalifanywa kukaa milele. Lakini hakuna hata mtu mmoja wa jamaa ya

Adamu aliyeruhusiwa kuonja (kutwaa) tunda linalotoa uzima. Kwa hiyo hapo hakuna

mwenye zambi wa kuishi milele.

Baada ya Kuanguka, Shetani akaalika malaika zake kufundisha imani katika kutokufa ya

milele kwa asili ya mtu. Akiisha kuingiza watu kukubali kosa hili, ilikuwa ni kuwaongoza

kuzania kama mwenye zambi angeishi katika mateso ya milele. Sasa mfalme wa giza

anamuonyesha Mungu kuwa sultani mkali mwenye kutaka kisasi, kutangaza ya kama

anatumbukiza katika jehanum wote wasiompendeza, ya kama wakati wanapojinyonga katika

ndimi za moto wa milele, Muumba wao anawatazama chini na kurizika. Kwa hivi ibilisi

mukubwa anavika Mtenda mema kwa mwanadamu tabia zake. Ukali ni tabia ya Shetani.

Mungu ni mapendo. Shetani ni adui anayejaribu mtu afanye zambi na baadaye

akamwangamiza kama awezavyo. Ni mambo ya kuchukiza upendo, rehema, na haki,

mafundisho kwamba wafu waovu wanateseka katika jehanum inayowaka ya milele, kwamba

kwa zambi za maisha mafupi ya kidunia wanateseka malipizi makali katika maisha yote ya

Mungu!

Ni mahali gani katika Neno la Mungu mafundisho ya namna ile inapatikana? Je, mawazo

ya wema wa watu wote yageuzwe kwa ukali waushenzi? Hapana, yale si mafundisho ya

Kitabu cha Mungu. “Ninavyoishi, Bwana Mungu anasema, sina furaha kwa kufa kwa mwovu;

lakini mwovu aache njia yake apate kuishi; geukeni, geukeni mukaache njia yenu mbaya;

kwani kwa sababu gani munataka kufa?” Ezekieli 33:11.

Je, Mungu anapendezwa katika kushuhudia mateso yasiyomalizika? Je, Yeye

anapendezwa na maumivu wala mazomeo na kilio cha nguvu cha viumbe vinavyoteseka

anavyoshikilia katika ndimi za moto? Je, sauti hizi za kuchukiza ziwe sauti za nyimbo katika

sikio la yule ambaye ana Upendo Pasipo Mwisho (Mungu)? Loo, matukano gani ya kutiisha!

Utukufu wa Mungu hauongezwe kwa kudumisha zambi kupitiamilele na milele.

Ujushi wa Maumivu Mabaya ya Milele

Uovu ulifanyika kwa sababu ya ujushi wa maumivu mabaya ya milele. Dini ya Biblia,

inajaa na upendo na wema, inatiwa giza kwa imani ya mambo ya uchawi na inavikwa na hofu

kubwa. Shetani amepakaa rangi tabia ya Mungu kwa rangi za uwongo. Muumba wetu wa

rehema anaogopwa, na kuhofiwa, hata kuchukiwa. Maoni ya kutisha ya Mungu ambayo

218

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!