12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

linakuwa na kosa ya namna moja, kwa sababu lina makanisa kumi inayojiweka wakfu kwa

Maria kwa namna moja linalojiweka wakfu kwa Kristo.”

Na Dr. Hopkin husema: “Hakuna sababu ya kufikiri kwamba roho na kanuni za mpinga

kristo na vitendo kusongwa kwa ile ambayo inaitwa sasa Kanisa la Roma. Makanisa ya

Kiprotestanti yanakuwa na umpinga kristo ndani yao, na yanakuwa mbali kabisa ya

matengenezo kwa ... maovu na ubaya.”

Juu ya Kanisa la Presbyteria kujitenga kwa Roma, Dr. Guthrie anaandika: “Miaka mia tatu

iliyopita, kanisa letu, pamoja na Biblia iliyofunguliwa kwa mwenge yake, na maneno haya

maalum: “Tafuteni maandiko” kwa mabendera yake, lilitoka kwa milango ya Roma. Ndipo

akauliza swali hili la muhimu: Je, waligeuka kuwa safi walipotoka kwa Babeli ? ”

Safari za Kwanza kutoka kwa Habari Njema

Namna gani kanisa lilitoka mara ya kwanza kwa unyenyekevu wa habari njema? Kwa njia

ya kupatana na kipagani, ili wapagani wakubali wepesi dini ya kikristo. “Karibu kufikia

mwisho wa kumalizia karne ya pili karibu makanisa mengi yalikubali sura mpya... Kama

wanafunzi wa zamani walipopumzika katika makaburi yao, watoto wao pamoja na

waliogeuka wapya, ... wakaendelea mbele na kutoa mfano mpya kwa dini.” “Wingi wa

wapagani, kujaa katika kanisa, kuchukua pamoja nao desturi zao, tamaa, na ibada ya sanamu.”

Dini ya Kikristo ikategemea mapendeleo na usaada wa watawala wa dunia. Ikakubaliwa kwa

jina tu na wengi. “Lakini wengi wakadumu katika mambo ya kipagani, zaidi kuabudu kwa

uficho sanamu zao.”

Je, matendo ya namna ile haikufanyika karibu katika kila kanisa linalojiita lenyewe

Protestanti? Kwa namna wenye kulianzisha waliokuwa na roho ya kweli ya matengenezo

walikufa, wazao wao wakatoa mfano mpya.” Kukataa kwa upofu kukubali kweli yo yote

mbele ya yale wababa zao waliona, watoto wa watengenezaji wakatoka kwa mfano wao wa

kujinyima na kuacha dunia.

Aa, kwa wingi wa namna gani makanisa ya watu wengi yalitoka kwa kanuni ya Biblia!

Akazungumzia juu ya pesa, John Wesley akasema: ” Usipoteze sehemu ya talenta hii ya

damani kwa kupamba nyumba yako na vyombo vya ufundi; katika mapicha ya bei kali,

kupamba... Wakati wote utakapovaa mavazi ya rangi ya zambarau nyekundu na kitani,’ na

zaidi` kuwa na maisha ya anasa kila siku,’ bila shaka wengi watashangilia uzuri wa tamaa

yako, kwa ukarimu wako na utu wema wako. Lakini utoshelewe zaidi na heshima itokayo

kwa Mungu.”

Watawala, watu wa siasa, wanacheria, waganga, wachuuzi, wanajiunga kanisani kwa

kusudi la kwendesha faida zao za kidunia. Makundi mbalimbali ya dini, yakaja kusaidiwa na

utajiri wa hawa wakidunia waliobatizwa, kuwa njia nzuri sana ya kuvuta watu wengi.

Makanisa mazuri sana, na garama nyingi yakajengwa. Mshahara wa juu sana ulilipwa kwa

mchungaji mwenye kipawa cha kukaribisha watu. Mahubiri yake yalipaswa kuwa rahisi na

156

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!