12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Katika “Kitabu cha ukumbusho” kumeandikwa matendo mema ya “wale wenye kuogopa

Bwana, na kufikiri juu ya jina lake.” Kila jaribu lililostahimiliwa, kila uovu uliozuiwa, kila

neno la huruma lililoonyeshwa, kila tendo la (kafara), kila huzuni iliyovumiliwa kwa ajili ya

Kristo imeandikwa. “Umehesabu kutangatanga kwangu; Utie machozi yangu ndani ya chupa

yako; Haya si katika kitabu chako?” Malaki 3:16; Zaburi 56:8.

Mukusudi ya Siri

Hapo kunakuwa pia ukumbusho wa zambi za watu. “Kwa maana Mungu ataleta kila kazi

hukumuni, pamoja na kila neno la siri, kama likiwa jema ao kama likiwa baya.” Kila neno la

bure watu watakalolisema. watatoa hesabu ya neno hili siku ya hukumu.” “Kwa masemo yako

utahesabiwa haki, na kwa masemo yako utahukumiwa.” Makusudi ya siri yanaonekana katika

kitabu, kwa maana Mungu “atatia nuru maneno yaliyofichwa katika giza, na kuonyesha

makusudi ya mioyo.” Muhubiri 12:14; Matayo 12:36,37; 1 Wakorinto 4:5. Mbele ya kila jina

katika vitabu vya mbinguni kunaingia kila neno baya, kila tendo la choyo, kila mapashwa

yasiyotimizwa, na kila zambi ya siri. Maonyo yaliyotumwa na mbingu ao makaripio

yasiyojaliwa, nyakati zilizotumiwa bure, mvuto uliotumiwa kwa wema ao kwa ubaya pamoja

na matokeo ya mwisho wake wa mbali, yanaandikwa yote kwa taratibu na malaika

mwandishi.

Kipimo cha Hukumu

Sheria ya Mungu ni kipimo katika hukumu. “Ogopa Mungu, na shika amri zake; maana

maneno haya ni yote inayofaa mtu kufanya. Kwa maana Mungu ataleta kila kazi hukumuni.”

“Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru.” Muhubiri

12:13,14; Yakobo 2:12.

Wale “wanaohesabiwa kuwa wamestahili” watakuwa na sehemu katika ufufuko wa wenye

haki, Yesu akasema: “Lakini wale watakaohesabiwa kuwa wamestahili kupata dunia ile na

kufufuka kutoka wafu,... ni wana wa Mungu, wakiwa wana wa ufufuo.” “Wale waliofanya

mema watafufuka kwa ufufuko wa uzima.” Luka 20:35,36; Yoane 5:29. Wafu wenye haki

hawatafufuliwa hata baada ya hukumu ambayo watakayohesabiwa kuwa wamestahili kwa

“ufufuo wa uzima.” Kwa sababu hiyo hawatakuwako katika nafsi wakati vilivyoandikwa juu

ya vingali na chunguzwa kesi zao kukatwa.

Yesu atatokea kama mwombezi wao, kutetea kwa ajili yao mbele ya Mungu. “Na Kama

mtu yeyote akitenda zambi, tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki.” “Kwa

sababu Kristo hakuingia katika Pahali patakatifu palipofanywa kwa mikono, ndio mfano wa

kweli, lakini aliingia mbinguni zenyewe, aonekane sasa mbele ya Mungu kwa ajili yetu.”

“Naye, kwa sababu hii anaweza pia kuwaokoa wanaokuja kwake Mungu kwa njia yake;

maana yeye ni hai siku zote apate kuwaombea.” 1 Yoane 2:1; Waebrania 7:25; 9:24.

Wakati vitabu vya ukumbusho vinapofunguliwa katika hukumu, maisha ya wote

walioamini kwa Yesu yanakuja katika ukumbusho mbele ya Mungu. Kuanzia kwa wale

197

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!