12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo. Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

Na ni nini itafanyika kwa haki ya mfalme ya kuwashazimisha watu kwa upanga wake kushiriki imani ambayo Kanisa linaamuru, ikidhaniwa kuwa ni imani ya kweli, kwa sababu Kanisa limeiamuru? Hii pia hulipuliwa na kupinduliwa. Kwa hivyo kanuni, iliyoko ndani ya Maandamano, inaweka udhalimu huu vumbini. Mwenyekiti wa Ponti na upanga wa mfalme hupita, na dhamiri inachukua (nafasi) yao. Lakini Maandamano haiipi dhamiri kiongozi wake mwenyewe; dhamiri sio sheria kivyake. Kama vile uhuni-uasi dhidi yake Yeye ambaye ni Bwana wake. Maandamano yatangaza kwamba Biblia ni sheria ya dhamiri, na kwamba Mwandishi wake ni Bwana wake peke yake. Kwa hivyo kuendesha mkondo wake kati ya hatari mbili tofauti, kuepuka machafuko kwa upande mmoja, na udhalimu kwa upande mwingine, Uprotestanti unakuja ukiwa umekunjua machoni pa mataifa, bendera ya uhuru wa kweli. Wote walio huru wanapaswa kukusanyika karibu na bendera hiyo.

Maneno muhimu: maandamano ya Speyer, uhuru wa kidini, puritan, kanisa, Ujerumani, mila, patakatifu, mahujaji, uingereza mpya, mambo ya kale, ukristo, toba, imani peke yake, kristo peke yake, wesley, huss, waldenses, jerome, calvin, luther, wycliffe, knox, askofu.

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

juu ya dunia, mbele ya watu. Naye anawakosesha wale wanaokaa juu ya dunia, kwa

mastaajabu yale aliyopewa kufanya. Ufunuo 13:13, 14. Si mambo ya ujanja tu yaliyotabiriwa

hapa. Watu wanadanganyiwa na mastaajabu ambayo wajumbe wa Shetani wanafanya, si yale

wanayotaka kufanya.

Mwito Wa Shetani Kwa Wenye Akili

Kwa watu wenye elimu naustaarabu mfalme wa giza anaonyesha imani ya kuwa na roho

za watu waliokufa na kujionyesha na kuongea na watu (spiritisme) katika mifano yake safi

zaidi na ya akili. Anapendezwa sana na wazo la tendoo la kushangaza kwa furaha na maelezo

yenye uwezo wa kushawishi ya mapendo na wema. Anaongoza watu kutumia kiburi sana

katika hekima yao wenyewe ili ndani ya mioyo yao waaibishe Bwana wa Milele.

Shetani anadanganya watu sasa kama alivyodanganya Hawa katika Edeni kwa njia ya

kuamsha tamaa ya nguvu kwa ajili ya kujiinua.

“Mutakuwa kama miungu,” anatangaza, “mukijua uzuri na ubaya”. Mwanzo 3:5. Imani

ya kuwako kwa roho za watu waliokufa inafundisha” kwamba mtu ni kiumbe cha

maendeleo... karibu ya kichwa cha uungu”. Tena; “Hukumu itakuwa ya haki, kwa sababu ni

hukumu ya kila mtu binafsi.... Kiti cha enzi ni ndani yako”. Na mwingine anasema: “Kila

kiumbe cha haki na kikamilifu ni Kristo”.

Kwa hivyo Shetani aligeuza tabia ya zambi ya mtu mwenyewe kuwa amri ya pekee ya

hukumu. Hii ni maendeleo, si kwenda juu, bali kwenda chini. Mtu hawezi kuinuka juu kuliko

cheo chake cha usafi wala wema. Kama nafsi ndiyo kipeo chake kikamilifu cha juu kuliko,

hatafikia kamwe kwa kitu cho chote kinachoinuka zaidi. Neema ya Mungu tu inakuwa na

uwezo kwa kuinua mtu. Kuachwa upekee, maendeleo yake inapaswa kwenda chini.

Mwito kwa Kupenda Anasa

Kwa ulafi, kupenda anasa, uasherati, imani ya kuwa na roho za watu waliokufa

(spiritisme) inaonyesha umbo la uwongo la werevu kidogo. Katika mifano yao mbaya sana

wanapata kitu ambacho kinachokuwa katika umoja na tamaa zake. Shetani anaandika hesabu

ya zambi kila mtu kutenda halafu anajihazali ya kwamba saa za kufaa zisipunguke kwa

kupendeza mvuto. Anajaribu watu kwa njia ya kutojizuia kwa kupunguza nguvu za mwili,

akili na za mafundusho mazuri. Anaharibu maelfu katika mazoezi wa kufurahisha tamaa,

kuharibu tabia yote nzima. Na kutimiza kazi yake, pepo wanatangaza kwamba “maarifa ya

kweli yanamuweka mtu juu ya sheria yote”; “cho chote kinachokuwa, kinakuwa haki”; ya

kwamba “Mungu hahukumu”, na ya kwamba “zambi zote... zinakuwa bila kosa”. Wakati

watu wanapoamini ya kwamba tamaa ni sheria ya juu zaidi, ya kwamba uhuru ni ruhusa, ya

kwamba mtu ni juu yake mwenyewe tu, nani anayeweza kushangaa ya kwamba uchafu unajaa

kwa kila mkono? Wengi kwa moyo wanakubali maongozi ya tamaa mbaya. Shetani

anachukua maelfu katika wavu lake wanaodai kufuata Kristo.

225

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!