21.04.2023 Views

Nyakati za Ukweli

Fumbo la historia sio lenye giza kabisa kwa kuwa ni pazia ambayo inaficha sehemu ya shughuli za uumbaji, nguvu za kiroho na uendeshaji wa sheria za kiroho. Ni kawaida mtu kusema kwamba damu ya mashahidi ni mbegu ya Kanisa. Tunachosema hapa ni kwamba vitendo vya kibinafsi vya uamuzi wa kiroho huzaa matunda ya kijamii ... Kwa mabadiliko makubwa ya kitamaduni na mapinduzi ya kihistoria ambayo huamua hatima ya mataifa au tabia ya umri ni matokeo ya jumla ya maamuzi ya kiroho ... imani na ufahamu, au kukataa na upofu wa watu binafsi. Hakuna mtu anayeweza kunyooshea kidole chake tendo la mwisho la kiroho ambalo linasababisha usawa na kufanya utaratibu wa nje na kufanya jamii kufikiria muundo mpya ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Nyakati za Ukweli

Wenye haki huwekwa katika tanuru ya taabu ili wao wenyewe wapate kutakaswa, ili

mfano wao upate kuvuta wengine kwa haki ya imani na wema, na kwamba mwenendo wa

uaminifu wao upate kuhukumu waovu na wasioamini. Mungu huruhusu waovu kusitawi na

kufunua uadui wao juu yake ili wote wapate kuona haki yake na rehema zake katika

uharibifu wao kabisa. Kiia tendo la ukali juu ya waaminifu wa Mungu litaazibiwa kama

kwamba lilitendewa Kristo mwenyewe.

Paulo anasema kwamba “wote wanaotaka kuishi maisha ya utawa katika Kristo watapata

mateso”. 2 Timoteo 3:12. Sababu gani, basi, kwamba mateso huonekana yamesinzia?

Sababu moja tu kwamba kanisa lilijiweka kwa kawaida ya kidunia na kwa hivyo haliamushi

tena upinzani. Dini katika siku zetu si safi kama imani takatifu ya Kristo na mitume wake.

Kwa sababu mambo ya kweli ya Neno la Mungu yanazaniwa kwa ubaridi, kwa sababu

kunakuwa utawa kidogo sana katika kanisa, Ukristo unapendwa na watu wote. Acha imani

ya kanisa la kwanza ifufuke, na mioto ya mateso itawashwa tena.

16

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!